SEMINA SEMINA SEMINA
TAMSYA Temeke imeandaa Semina elekezi kwa wanafunzi wanaotegemea kuingia kidato cha kwanza (Welcome form I )Wapi: Tandika masjid Thaqafa (msikiti wa Sheikh Kilemile) karibu na Tandika secondary school Mda: saa 08:00 asubuh hadi 06:30 adhuhur
Siku: Jumamosi 18/02/2017
Ni muhimu kufika, faida nyingi itapatikana, kujua maisha ya mwanafunzi wa kidato cha kwanza yana changamoto gani na vipi tunaweza kuandaa division one kuanzia sasa.
Kwa mawasiliano: Amir habari TAMSYA Temeke +255655105514
0 comments:
Post a Comment