HAFLA YA PONGEZI KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE 2016
AN-NAHL TRUST kwenye kuadhimisha ada yao ya kuhamasisha elimu, imeandaa hafla ya kuwapongeza wahitimu waislamu wa kidato cha NNE waliopata division 1 na 2Taarifa zifuatazo zinahitajika:
1. Jina kamili
2. Shuke aliyohitimu na namba ya mtihani
3. Division alopata (na points)
4. Namba za simu (za mzazi/ mlezi)
Tuma kwa namba: Abdallah Ndele +255 718 822 626
Fareed Mbarack +255 672 730 200
0 comments:
Post a Comment