Semina elekezi kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza

 SEMINA   SEMINA   SEMINA

TAMSYA Temeke imeandaa Semina elekezi kwa wanafunzi wanaotegemea kuingia kidato cha kwanza (Welcome form I )

Wapi: Tandika masjid Thaqafa (msikiti wa Sheikh Kilemile) karibu na Tandika secondary school Mda: saa 08:00 asubuh hadi 06:30 adhuhur
Siku: Jumamosi 18/02/2017





Ni muhimu kufika, faida nyingi itapatikana, kujua maisha ya mwanafunzi wa kidato cha kwanza yana changamoto gani na vipi tunaweza kuandaa division one kuanzia sasa.
                                   Fika, njoo na mwenzako, sambaza ujumbe kwa wengine



Kwa mawasiliano: Amir habari TAMSYA Temeke  +255655105514
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment