Hafla ya pongezi kwa wahitimu wa kidato cha nne 2016

HAFLA YA PONGEZI KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE 2016

AN-NAHL TRUST kwenye kuadhimisha ada yao ya kuhamasisha elimu, imeandaa hafla ya kuwapongeza wahitimu waislamu wa kidato cha NNE waliopata division 1 na 2

Taarifa zifuatazo zinahitajika:
1. Jina kamili
2. Shuke aliyohitimu na namba ya mtihani
3. Division alopata (na points)
4. Namba za simu (za mzazi/ mlezi)

Tuma kwa namba:   Abdallah Ndele  +255 718 822 626
                             Fareed Mbarack +255 672 730 200


Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment