MUSLIMS: Say NO to valentine's day


📢BAYANA KWA UMMA📢


عيد الحب ❌       Hakuna Sikukuu ya wapendanao
عيد الميلاد ❌      Hakuna Sikukuu ya mwaka mpya
عيد الزواج ❌     Hakuna Sikukuu ya ndoa
عيد الأم ❌         Hakuna  Sikukuu ya mama

📙 الأعياد في الإسلام اثنان فقط 📘
Siku kuu ( eid) katik uislam ni mbili tu.

إن الأعياد في الإسلام اثنان فقط هما :

Kwa hakika Eid katik uislam ni mbili tu nazo ni :
عيد الفطر ✅
Eid al fitri 

عيد الأضحى ✅
Eid al adh-ha

وما عداهما من الأعياد سواء كانت متعلقة بشخص أو جماعة أو حدث أو أي معنى من المعاني فهي أعياد مبتدعة 

🎁Na zisizokuwa hizo katik sikukuu sawa iwe imefungamana na mtu au kikundi au tukio au yoyote katik maaana hizo ni sikukuu za wazushi.

لايجوز لأهل الإسلام فعلها ولا إقرارها ولا إظهار الفرح بها ولا الإعانة عليها بشئ 

🚿 Haifai kwa waislam kuzitenda wala kuzikubali wala kudhihirisha furaha kwazo wala kusaidia kwa chochote.

لأن ذلك من تعدي حدود الله ومن يتعدى حدود الله فقد ظلم نفسه

Kwa kuwa hilo ni ktk kuichupa mipaka ya Allah na yoyote mwenye kuichupa mipaka ya Allah ameidhulum nafsi yake.

المصدر📚
فتاوى اللجنة الدائمة
فتوى رقم 20203.



💎وَاللـهُ أَعْلَمُ 💎
Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment